Drama as Kakamega man trying to access Ruto is manhandled in front of the President!!
Hapo na niwaulize ngoja tu kidogo Haya Sawa Akti hapaweka hapo no wewe mlete hapa wewe lete Yeye hapa [Tepuk tangan] wewe yeah mlete hapa Akti hapo Enda Keti hapo ketishe paleuongelea baadaye very good asante sana so mimi nataka niwaeleze ya kwamba Hiyo kazi yote ambayo imebaki nimepata bunge letu weze kuendesha transformation ya
Kenya tunahitaji sheria zipitishwe bunge tumepitisha sheria ya Mambo ya afya tumepitisha sheria ya Mambo ya sukari tumepitisha sheria ya Mambo ya housing na huyu ndugu yangu [Tepuk tangan] [Musik] Moses huyu ndugu yangu Moses wetangular amenisaidia Hi Ki tafadhali tumpigie makofi huyu Mangu la jamen Vile Vile ndugu yangu musali mudavadi katika Mambo Ya
Diplomasia we all agree we have the best diplomat in musaliadi kwa sababu ya kazi yake anfanya