Home Video Nay Wamitego – Mama (official Music Video)

Nay Wamitego – Mama (official Music Video)

by drbyos


READ  Fivio Foreign - unruly (official video)

Related Videos

28 comments

MATOTOLA Tv May 5, 2021 - 11:12 pm

Fata Channel yangu up coming

Reply
Gerald Gerry Trump May 5, 2021 - 11:12 pm

Yaani sioni tatizo na hili Ngoma la mwaka…basata wacheni haya mambo yenyu jamani

Reply
John Bauta May 5, 2021 - 11:12 pm

basata nyimbo za matusi zipo wcb mnauchuna tu kama hamziskii msituletee ungese wenu liachieni dude hili

Reply
Kim Didas May 5, 2021 - 11:12 pm

Kuelewa kwa nn basata wameufungia huu wimbo unatakiwa kwanza usiwe na njaa, unatakiwa utulie sana kuelewa sababu 😅😅

Reply
Filbetter Wilson May 5, 2021 - 11:12 pm

Kama umekuja kusikiliza baada ya basata Kufanya nayo gonga like

Reply
Omar Nzaro May 5, 2021 - 11:12 pm

Kama umelinganisha huu wimbo na uongozi Tanzania weka like hapa.ila wimbo mzuri sini maswali na ushauri.

Reply
R boy Super May 5, 2021 - 11:12 pm

Bloo piga Kaz siyo kila aliye mkubwa kimwili ni mkubwa kiakil get this sprit if you will fight you will get

Reply
Moses Mwakalibule May 5, 2021 - 11:12 pm

Kazi nzuri sana. … ujumbe kwa mama

Reply
Issack Joseph May 5, 2021 - 11:12 pm

Ngoma umeanza vizuri ila kumdis the king genius Magu umezingua ipo cku mtajua maono ya huyu mzee ilikuwa sisi kupata ngv ya kujitawala na kujiamini,ndo maana hakuwa mdau Wa kuiba ela na kukimbizia uswizi

Reply
Kedy John May 5, 2021 - 11:12 pm

One must truly be out of their mind banning such a beautiful piece… Damn

Reply
lady mar May 5, 2021 - 11:12 pm

Very very interesting song

Reply
Ummy Msangi May 5, 2021 - 11:12 pm

Mbona sioni ubaya wawimbo

Reply
Ezelina Kabetile May 5, 2021 - 11:12 pm

Yaaani Zamani BASATA nilijuwaga sijuwi ni kiumbe gani kumbe ni viwatu vyenye wivu tuu sasa hapa shida nini labda

Reply
josephine kanaiza May 5, 2021 - 11:12 pm

What made basata to lock these song😯😯😯 can someone give me aclue 😕😕😕

Reply
IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. May 5, 2021 - 11:12 pm

NAMBONA NAY ANASEMA IMEFUNGIWA JANA NA LEO MWANA FA AMEANDIKA UJUMBE MREFU ILA MZURI NA SAI NIMEONA KWA MIDDLE SIMBA ANYWAY NA 🚶‍♀️🇰🇪🇨🇿 BIG UP NAY

Reply
Hussein Mwabo May 5, 2021 - 11:12 pm

Kweli nimeamin kwann wamegoma hahahha

Reply
Wahida Hamza May 5, 2021 - 11:12 pm

Ney nakuita mara tatu Ney Ney ney😒

Reply
Emm Nzey May 5, 2021 - 11:12 pm

Hivi kosa ndani ya huu wimbo ni lipi; hembu nisaidieni mimi sio mTZ , kiswahili changi of cause hakiko vizuri

Reply
Sampuli Yusuf May 5, 2021 - 11:12 pm

Kama umeelewa true boyy piga like apa..

Reply
lucas kasonde May 5, 2021 - 11:12 pm

Huyu mwamba bhan anafata nyayo za master Roma

Reply
Elly Mtz May 5, 2021 - 11:12 pm

Basata 🚮

Reply
mjukuuu machoz May 5, 2021 - 11:12 pm

Ney wewe ni nomaaaaa

Reply
Elina Madalali May 5, 2021 - 11:12 pm

Kam umemuelewa shangaz halima gonga like twende sawa🤣

Reply
Victor Mwakyusa May 5, 2021 - 11:12 pm

Shangaz halima ✊😜😜 nan anamjua??? Mana BAdo yupo kwenye vikao vya familia

Reply
Sirdion cornel May 5, 2021 - 11:12 pm

bonge la jiwe hili

Reply
Diana Wallhaeusser May 5, 2021 - 11:12 pm

Nice song 🔥🔥

Reply
Mohammed abdalah Mponela May 5, 2021 - 11:12 pm

Kwan basata mu muhaho

Reply
Goodluck Blastus75m May 5, 2021 - 11:12 pm

Mbn nyimbo haina shida

Reply

Leave a Comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.