The pain of temptation is a song that explains that temptation hurts the heart, but God is there to save us from all the situations and difficulties we go through.

The pain of temptation is a song that explains that temptation hurts the heart, but God is there to save us from all the situations and difficulties we go through.
Hosted by ByohostingMost Recommended Web Hosting – for complains, abuse, advertising contact: o f f i c e @byohosting.com
Copyright 2022 Archytele. All rights reserved.
36 Responses
blessed from +254
Onge wach.
Nafarijika Sana na nyimbo zako, Zi na upako mkubwa sana.
Dada nisema Nini mungu niwaajambu nyimbo zako zanijegassna🇰🇪🇰🇪
I love your songs ,may God continue blessing you Martha
Ubarikiwe Kwa nyimbo nzuri muhubiri
Nyimbo zako zinanibariki sana
Awesome ministrations,,may the lord bless u with unlimited blessings
Amen dd angu mungu wambingu akubarik
😭😭, in tears, Strengthen me oh Lord
✅✅✅i like it
Kweli awe nasi
Hatimaye, was looking for this,,,, Wimbo wa nguvu sana. And above all I really Bless the Lord for this gift He has bestowed upon you. Blessings from Mombasa Kenya. 28.08.2021
Be blessed mum.you encourage many.
Ameeeen glory to God
Mungu akukubuke mummy
Kiumizakyo moyo twazani Mungu ametuacha lakini, Muumba hatuachi kushindwa. Mwimbo huu umenitia nguvu mpya nyuma yaku patwa na Jaribu kubwa tarehe 16 August 2021. Lakini kwake Mungu twapata ushindi. Asante kwa mafundisho haya mama #Martha
Hali ambayo naipitia kwa sasa,
Utuache yesu , usituache baba, usituache wanao tukapotea
Kweli kabisa hawajui maumivu yangu ni nayopitia
I love this. Wimbo huu wanitia moyo Kwa jaribu ninalopitia
Nyimbo zako zinampa nguvu MTU ata kama alikataa tamaa
Eeeh Mungu ponya maumivu ya moyo wangu 😭😭😭😭
My best …majaribu yanafanya moyo kusononeka
Beautiful song my sister
Japo yameruhusiwa nawe yanaumiza moyo Mungu. Am touched from Nairobi kenya
Narikiwa san nikiwa nasikiliza nyimbo zako dada mungu kwenyehuduma yako
Sitachoka na hii wimbo
Safii kabisa ubarikiwe kwanyimbo nzuri
amen
Martha I wish talk with u
Awesome ministration… your songs always uplifts me and gives me the strength to persevere and press on.God bless you and continue anointing you the more
Ee Bwana usiniache nikamezwa na jaribu
Mungu aliye mbinguni atukuzwe
Aminah aminah yesu ww wajua
God heal my body & restore my life. Usiniache nikamezwa na jaribu ewe Mungu wangu.